EMMANUEL MGOGO Official Tz Image Thumbnail

EMMANUEL MGOGO Official Tz YouTube Channel Stats

Data Updated on Jan 22, 2025

Joined

Jun 16, 2014

Location

Tanzania

Category

Lifestyle

Videos

284

Subscribers

180K

Subscribe

Channel Description

Emmanuel Mgogo ni Muimbaji wa nyimbo za Injili, mtunzi, muhubiri na Baba wa familia kutoka Tanzania. Ni muimbaji aliejulikana kwa watu na Kutambulika zaidi baada ya kutoa Album yake ya pili iliyokwenda kwa jina la “MSIKILIZE MUNGU” Mpaka sasa Emmanuel Mgogo ana Album Nne (4) ambazo ni; 1. IKO WAPI NJIA 2. MSIKILIZE MUNGU 3. UMEKUSUDIWA NA MUNGU 4. USO WANGU pamoja na nyimbo zingine nyingi. Miongoni mwa Nyimbo zake maarufu ni pamoja na MIMI NAPENDA, USO WANGU, KONGOLE YESU, NI WEWE TU, INUKA UANGAZE, WAACHE WAJE n.k Hadhira inayomfuatilia imekuwa ikiongezeka kwa kasi zaidi tangu alipoweka rasmi nyimbo zake kwenye mtandao wa YouTube mnamo mwaka 2016 Hivi karibuni ameanzisha huduma ya “INJILI VIJIJINI MINISTRY” yenye lengo la kuwafikia watu na Kuhubiri Injili ya Yesu Kristo kwa watu wote wanaoishi katika mazingira ya vijijini. Mungu azidi kuwabariki ninyi nyote mnaoendelea kufatilia, kuguswa na kuhudumiwa na huduma ya uimbaji kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgogo. Amen!

VidIQ Logo

Grow Your YouTube Channel with AI-Powered Tools & Analytics

Overall Score

B

ViewsB
EngagementC
SubscribersB
Subscribers

180K

+1.12%(Last 30 days)

Video Views

39.78M

+1.25%(Last 30 days)

Est. Monthly Earnings

$854.57 - $2.6K

Less than similar channels
Engagement Rate

1.74%

Low
Video Upload Frequency

0.25 / week

Low
Average Video Length

6.98 Minutes

Less than similar channels

Daily Performance

Date
Subscribers
Views
Estimated Earnings
2025-01-22180K39,778,226+14,820$25.71 - $77.14
2025-01-21180K39,763,406+15,486$26.87 - $80.6
2025-01-20180K39,747,920+16,937$29.39 - $88.16
2025-01-19180K39,730,983+18,671$32.39 - $97.18
2025-01-18180K39,712,312+17,936$31.12 - $93.36
2025-01-17180K39,694,376+17,970$31.18 - $93.53
2025-01-16180K39,676,406+17,531$30.42 - $91.25
2025-01-15180K39,658,875+16,326$28.33 - $84.98
2025-01-14180K39,642,549+16,501$28.63 - $85.89
2025-01-13180K39,626,048+18,663$32.38 - $97.14
2025-01-12180K+1K39,607,385+18,664$32.38 - $97.15
2025-01-11179K39,588,721+19,452$33.75 - $101.25
2025-01-10179K39,569,269+19,006$32.98 - $98.93
2025-01-09179K39,550,263+15,606$27.08 - $81.23
2025-01-08179K39,534,657+14,478$25.12 - $75.36
2025-01-07179K39,520,179+13,185$22.88 - $68.63
2025-01-06179K39,506,994+15,299$26.54 - $79.63
2025-01-05179K39,491,695+14,789$25.66 - $76.98
2025-01-04179K39,476,906+14,015$24.32 - $72.95
2025-01-03179K39,462,891+14,553$25.25 - $75.75
2025-01-02179K39,448,338+20,070$34.82 - $104.46
2025-01-01179K39,428,268+17,521$30.4 - $91.2
2024-12-31179K39,410,747+14,276$24.77 - $74.31
2024-12-30179K39,396,471+16,191$28.09 - $84.27
2024-12-29179K39,380,280+15,631$27.12 - $81.36
2024-12-28179K39,364,649+14,082$24.43 - $73.3
2024-12-27179K+1K39,350,567+15,050$26.11 - $78.34
2024-12-26178K39,335,517+18,543$32.17 - $96.52
2024-12-25178K39,316,974+16,022$27.8 - $83.39
2024-12-24178K39,300,952+15,273$26.5 - $79.5

Ready for YouTube growth?

Take your views to the next level with keyword insights, video ideas, and even more growth tools from vidIQ.