# About Voice Kitaa Tv: YouTube Channel Profile

Markdown version of https://vidiq.com/youtube-stats/channel/@voicekitaatv/about/ from vidIQ YouTube Stats. Link to that page, not to this file.

As of 2026-11-18, Voice Kitaa Tv has 151,000 subscribers, 28,149,049 total views, and 4,866 videos. It ranks #482,649 by subscribers among channels tracked by vidIQ.

## Profile

- Channel: [Voice Kitaa Tv](https://vidiq.com/youtube-stats/channel/@voicekitaatv/)
- Subscribers: 151,000
- Total views: 28,149,049
- Videos: 4,866
- Estimated ad revenue (USD): $12
- Worldwide rank: #482,649
- Country: Tanzania (rank #485)
- Category: Sports (rank #14,940)
- Joined YouTube: 2015-09-27
- Statistics as of: 2026-11-18

## Channel description

Written by the channel:

> Voice Kitaa Tv Ni chombo cha habari
> (online)Kinachochapisha taarifa kwa kuzingatia maadili ya uandishi wa Habari (Journalism ethics) kwa kuzingatia weledi pia Voice Kitaa Tv Tumejikita zaidi kwenye kuchapisha Maudhui (content ) zinazohusiana na Michezo,Muziki,Filamu,Mitindo kwa kufuatana na uhariri (editing) wa taarifa zetu kwa nia ya
> •Kutoa Taarifa (habari ) zenye ukweli
> •Kufuata misingi ya habari kwa kuweka uwiano (balance) kwa pande zote kulingana na taarifa.
> •Kutokuwa na Ubaguzi (bias) wa dini ,ukabila na mambo yanayofanana na hayo ambayo yanaweza kuleta uchochezi (sadition)
>
> Muongozo kwa Wafuatiliaji (Subscribers)
> 1.Maoni ni Haki ya kila mmoja kila mtu anaweza kutoa
> 2.Mhusika Voice Kitaa Tv ina Mamlaka ya Kukuzuia wewe Mfuatiliaji utakaye kiuka masharti na usiweze kuona taarifa zetu wala kuweza kuweka Maoni yako
> 3.Mfuatiliaji wetu Voice Kitaa Tv ina Mamlaka ya kuyafuta maoni yako endapo hayatazingatia maadili mfano Lugha ya Matusi Makali au Lugha ya Kejeli
>
>
> #LIVEDIGITAL
