# About Uhondo TV: YouTube Channel Profile

Markdown version of https://vidiq.com/youtube-stats/channel/@uhondotv5210/about/ from vidIQ YouTube Stats. Link to that page, not to this file.

As of 2026-11-13, Uhondo TV has 740,000 subscribers, 160,157,547 total views, and 38,737 videos. It ranks #102,147 by subscribers among channels tracked by vidIQ.

## Profile

- Channel: [Uhondo TV](https://vidiq.com/youtube-stats/channel/@uhondotv5210/)
- Subscribers: 740,000
- Total views: 160,157,547
- Videos: 38,737
- Estimated ad revenue (USD): $760
- Worldwide rank: #102,147
- Country: Tanzania (rank #67)
- Category: News-&-Politics (rank #2,815)
- Joined YouTube: 2017-07-28
- Statistics as of: 2026-11-13

## Channel description

Written by the channel:

> KANUNI NA MUONGOZO YA UHONDO TV
>
> Uhondo TV Online ni chombo cha habari kinachozingatia weledi na maadili yanayoongoza katika tasnia ya habari. Tumejikita katika kuripoti taarifa zote za kijamii ikiwemo habari za kitaifa, kimataifa, michezo, burudani n.k. Tunazingatia misingi ya uhariri katika habari kwa kufuata yafuatayo:
> i. Kuripoti habari za ukweli wakati wote
> ii. Kusaidia kurekebisha taarifa zilizopotoshwa kwa jamii ili kuwapa ukweli wafuatiliaji wetu kwa wakati sahihi.
> iii. Kufuata kanuni na misingi ya habari kwa kuripoti habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote
>
> MUONGOZO:
> Wafuasi wetu (subscribers)
> i.Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake
> ii. Uhondo TV ina uhuru wa kufuta maoni yoyote yasiyo na maadili au yenye lugha chafu
> iii. Uhondo TV ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni.
> iv. Uhondo TV haitahusika moja kwa moja na maoni yatolewayo na wafuasi wetu ikiwemo lugha zisizofaa n.k
