# About AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA: YouTube Channel Profile

Markdown version of https://vidiq.com/youtube-stats/channel/@aje-farmsmashambayanayotem7392/about/ from vidIQ YouTube Stats. Link to that page, not to this file.

As of 2026-10-31, AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA has 58,200 subscribers, 32,667,910 total views, and 1,180 videos. It ranks #1,070,142 by subscribers among channels tracked by vidIQ.

## Profile

- Channel: [AJE -FARMS ; MASHAMBA YANAYOTEMBEA](https://vidiq.com/youtube-stats/channel/@aje-farmsmashambayanayotem7392/)
- Subscribers: 58,200
- Total views: 32,667,910
- Videos: 1,180
- Estimated ad revenue (USD): $13,000
- Worldwide rank: #1,070,142
- Country: Tanzania (rank #1,001)
- Category: Education (rank #55,045)
- Joined YouTube: 2012-07-12
- Statistics as of: 2026-10-31

## Channel description

Written by the channel:

> HAPA UTAJIFUNZA mbinu bora za kilimo biashara,uongezaji thamani wa mazao na ufugaji ;tutakuunganisha na mtandao wa wakulima wazoefu, wafugaji,watunga sera,wasimamizi wa sera za kilimo/ufugaji pamoja na mtandao mkubwa wa masoko ya ndani na ya kimataifa.
>
> KWA KUWA HATUWEZI KUTENGANISHA KILIMO NA MILA PAMOJA NA UTALII ;
> Tutakufanya mtazamaji wetu ufanye utalii wa mila,desturi/tamaduni za makabila mbalimbali ya Kiafrika juu ya vyakula,mimea,wanyama,maua,mavazi,ngoma za asili za makabila mbalimbali, taratibu na mila za kuoa na kuolewa, sherehe ,dawa za asili ya Afrika nk  kupitia computer yako/ simu yako ya kiganjani.
> Kupitia program yetu ya AJE-FARMS MASHAMBA YANAYOTEMBEA tutakupeleka mashambani, viwandani,kwenye mbuga za wanyama,ofisini kwa viongozi mashuhuri,maduka ya pembejeo za kilimo na zana za kilimo.
>
> Tutatembea na kushiriki kwenye sherehe za Mila,mbuga za wanyama,jando nk.
> Tutakufikia shambani na kukusaidia kukabiliana na changamoto huko huko.
>
> SUBSCRIBE : @AJE-FARMS
